PIGO LINGINE KWA JWTZ, YAPOTEZA KOMANDOO
JWTZ imepoteza shujaa mwingine Komando LT JC Kabipe aliyefariki Juzi kufuatia majeraha aliyoyapata akiwa Dodoma wakati wa mazoezi ya maandalizi ya sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika December 9.
Ni miongoni mwa vijana wasomi na alikuwa mchapakazi na mafunzo yao huwa yanafanyika kwa gharama kubwa sana na kumpoteza ni pigo kubwa sana kwa Jeshi letu na Nchi kiujumla.
No comments