Breaking News

GODBLESS LEMA AFICHUA WANACHOHONGWA WABUNGE WA CHADEMA ILI WAHAMIE CCM


Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi yaCHADEMAGodbless Lema amefunguka nakusema ahadi ambazo baadhi ya viongozi waCHADEMA wamekuwa wakipewa jambolinalopelekea kujiuzulu na kujiunga na ChamaCha Mapinduzi (CCM).

Lema amesema hayo jana Disemba 14, 2017mara tu baada ya Mbunge wa Jimbo la Sihakwa tiketi ya CHADEMA, Godwin Ole Mollelkutangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubungena uanachama wa CHADEMA kuanzia jana  nakujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

"Nitakupa mshahara wako wote kwa miakailiyobaki, pia nitakulipia madeni yako yote,nitakupa kiinua mgongo chako chotenitakupa na mlinzi kwa kipindi hiki na ukitakatena kugombea nitakupa kipaumbele weweau kazi nyingine utakayotakaJeutakuwatayariSi utakuwa tiyari wajameni?" aliandikaLema kwenye mtandao wake wa Twitter

Baadhi ya vyama vya upinzani nchinivimekuwa vikikumbana na changamoto yabaadhi ya viongozi wao au wananchamakujivua uanachama na kujiunga na ChamaCha Mapinduzi (CCM) kwa kile wanachodai wanaunga mkono juhudi na utendaji kazi wa Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli.

No comments