Watu waliokufa kutokana na mafuriko wakizikwa. Mafuriko hayo yalisababishwa na kupasuka kwa bwawa la Patel eneo la mji wa Solai karibu na Na...Read More
Mvua kubwa inayoendelea Kenya yasababisha hasara kubwa
Reviewed by Unknown
on
May 24, 2018
Rating: 5
Sakata la mradi wa umeme wa Stigler’s Gorge ambao utekelezaji wake unafanyika katika pori la akiba la Hif...Read More
Bajeti Maliasili na Utalii yapita, mradi wa Stigle’s Gorge watikisa Seebait.com 2018SeeBait Sakata la mradi wa umeme wa Stigler’s Gorge ambao utekelezaji wake unafanyika katika pori la akiba la Hifadhi ya Selous, liliibuka tena bungeni jana jioni Mei 22, 2018 na kuzua mvutano huku Spika Job Ndugai akieleza kutoridhishwa na majibu ya Waziri wa Maliasili na Utalii. Suala hilo lilitikisa Bunge jana mchana baada ya wabunge kadhaa kuhoji utekelezaji wa mradi huo, kueleza athari za kimazingira zinazoweka kujitokeza. Selous ni miongoni mwa mapori yanayotambuliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu na Utamaduni (Unesco) kama sehemu ya urithi wa dunia, lakini uamuzi wa Serikali kuzalisha zaidi ya megawati 2,100 ikitumia zaidi ya Dola 2bilioni (zaidi ya Sh4.5trilioni) unaelezwa kuwa huenda ukaliondoa pori hilo kwenye orodha hiyo. Bunge lilipokaa kama kamati jana jioni kupitisha bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii mwaka 2018/19 ya Sh115bilioni, mbunge wa Ulanga (CCM), Godluck Mlinga alianza kwa kuhoji kama Serikali itakuwa na mkakati mzuri wa kuwasaidia wananchi wanaoishi katika maeneo hayo. Hoja ya Mlinga iliungwa mkono na Ndugai aliyeitaka Wizara ya Nishati kuwa makini na kutengeneza utaratibu wa kupanda miti katika maeneo mbalimbali yanayoanzishwa miradi ya umeme. Ndugai amesema katika maeneo mengi Wizara hiyo imekuwa na utaratibu wa kukata miti mingi katika utekelezaji wa miradi lakini inakosa usimamizi wa upandaji miti mingine. “Mheshimiwa Mlinga naamini kuwa wamekuelewa lakini na ninyi Nishati lazima muwe na mipango mizuri ya kupanda miti katika miradi yenu. Haiwezekani unakata miti lukuki lakini hakuna mpango wa kuipanda hiyo haikubariki kabisa,” amesema Ndugai. Ndugai ambaye pia aliungwa mkono na mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe kwa pamoja walipingana na majibu ya Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani kuhusu upandaji wa miti katika eneo hilo. Wakati wawili hao wakitaka kusikia majibu ya Serikali kuhusu utunzaji wa mazingira katika eneo hilo, ikiwa ni sambamba na kupanda miti baada ya kuikata iliyopo, Dk Kalemani hakuwa akitoa majibu ya kina kuhusu hoja yao hiyo. Katika majibu yake Dk Kalemani alisema miradi inayoanzishwa itakuwa na mipango mizuri hata ya uhifadhi wa mazingira, huku akijikita zaidi kueleza mpango wa kuongeza nguvu ya uzalishaji umeme nchini. “Yaani Waziri hujatuelewa kabisa tunachotaka sisi ni hii miti mingi mnayokata halafu mnakusanya na hampandi mingine, hivi hamjui habari ya uhifadhi kweli basi nimemaliza, nimemaliza waziri usisimame tena,” alisema Ndugai baada ya waziri huyo kuomba kujibu tena huku wabunge wakipinga. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Kangi Lugola alisema mradi huo hauna madhara kwa wananchi na Taifa kwa ujumla, akijitokeza mtu akaupinga atafungwa bila huruma.
Reviewed by Unknown
on
May 23, 2018
Rating: 5
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS),, Fatma Karum...Read More
IGP Sirro afanya mazungumzo na Rais wa TLS
Reviewed by Unknown
on
May 22, 2018
Rating: 5
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limesema uzembe wa dereva aliyekuwa akiendesha gari aina ya LandCruiser mali ya Serikali ya Tanzania ndiyo cha...Read More
Polisi yaeleza chanzo cha ajali iliyoua Maofisa watatu
Reviewed by Unknown
on
May 22, 2018
Rating: 5
IjueSheria: Mtu yeyote ambaye hatumikii Jeshi la Ulinzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala Jeshi lolote la Polisi lililowekwa kwa Sheri...Read More
Adhabu na Faini Utakayo Pewa Utakapokutwa Umevaa Sare za Jeshi
Reviewed by Unknown
on
May 22, 2018
Rating: 5
Tume ya kuhakiki mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyoundwa na Rais John Magufuli, imebaini madudu ukiwamo utapeli na usimamizi mbaya wa ...Read More
Ripoti ya Ufisadi Mali za CCM Yatua kwa Rais Magufuli
Reviewed by Unknown
on
May 22, 2018
Rating: 5
WABUNGE watatu kutoka Chama cha Wananchi (CUF) mikoa ya Lindi na Mtwara wamepongeza kasi ya utendaji kazi ya Rais John Pombe Magufuli katik...Read More
Wabunge Wa CUF Wamfagilia Rais Magufuli
Reviewed by Unknown
on
May 22, 2018
Rating: 5
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, ameingia bungeni kwa mara ya kwanza leo Mei 21, 2018 tangu aachiwe kwa msamah...Read More
Sugu Atinga Bungeni
Reviewed by Unknown
on
May 21, 2018
Rating: 5