BREAKING NEWS: Ajari uso kwa uso Treni ya mizigo na basi la Prince Amina Kigoma
Mamia ya wakazi mkoani kigoma wamekubwa na simanzi kubwa baada ya kutokea ajari kubwa ikihusisha basi aina ya Prince Amina na train ya kubeba mizigo, hadi sasa idadi ya watu waliofariki na majeruhi haijajulikana huku Askari wa Jeshi la Wananchi na wakazi wa eneo hilo wakiendelea na shughuli za uokoaji.
Ajari hiyo imetokea eneo la Kahabwa Kata ya Gungu ambapo basi ilikuwa ikifanya safari kutoka kigoma Mjini kuelekea Mkoa wa Tabora huku gari moshi likiwasili mkoani Kigoma
No comments