Breaking News

BREAKING: Mkurugenzi Kituo cha Utetezi wa Haki za Binadamu akamatwa na Polisi DSM

BREAKING: Mkurugenzi Kituo cha Utetezi wa Haki za Binadamu akamatwa na Polisi DSM

Ni habari za leo June 3, 2017 ambazo nimezipata kutoka DSM ambazo zinaeleza kuwa Polisi wanamshikilia Mkurugenzi wa Kituo cha Utetezi wa Haki za Binadamu Tanzania ‘THRDC’ Onesmo Olengurumwa na kuzuia uzinduzi wa Kitabu cha Watetezi wa Haki Vyuoni kilichoandikwa na Alphonce Lusako.

Tukio hilo limetokea katika ukumbi waBlue Pearl Hotel Ubungo Dar es Salaam ambapo millardayo.com inaendelea kufuatilia kwa karibu zaidi.


No comments