CCM KUCHUKUA JUKUMU LA KUMZIKA ALLY YANGA
Chama cha Mapinduzi (CCM) Dodoma kimesimama mstari wa mbele kwenye kushughulikia mazishi ya Shabiki maarufu nchi wa Klabu ya Yanga Ali Yanga.
Katibu Mkuu wa Chama hicho Mkoa wa Dododma Jamila Yusuphu ameliwaomba wanachama wote kujitokeza kwenye kuaga mwili wa Marehemu huyo kwenye Hospitali ya Mkoa wa huo kuazia majira ya saa 9 alasiri
Mwili wa Aly Yangautasafirishwa hadi mkoani Shinyanga na Kuzikwa kesho mkoani humo
Post Comment
No comments