Breaking News

BREAKING NEWS:HALI SI SHWARI KIBITI,TRAFIKI AUAWA,GARI LA POLISI LACHOMWA MOTO


Watu wasiojulikana  wamemuua askari wa usalama barabarani katika kijiji cha Bungu  B wilayani Kibiti leo mchana.

Taarifa za kuaminika zilizotufikia zimeeleza kuwa gari la askari hao limechomwa moto na kwa sasa vikosi vya ulinzi na usalama vinaelekea eneo la Tukio.

Habari zaidi juu ya tukio hili tutakuletea hapo baadae

CHANZO: MWANANCHI

No comments