MANCHESTER CITY YAVUNJA REKODI YA CHELSEA
Manchester City imeweka rekodi mpya kwa ushindi mfululizo katika Ligi Kuu baada ya kuwapiga wapinzani wao Manchester United huko Old Trafford.
Magoli kutoka kwa David Silva na Nicolas Otamendi yalisaidia kuipa pointi tatu kwa upande wa Pep Guardiola katika mtanange huo mkubwa.
Ushindi huo ulikuwa ushindi wa mfululizo wa 14 wa Man City, wamevunja rekodi ya mafanikio mechi 13 bila kufungwa katika ligi kwa msimu mmoja iliyo wekwa na Chelsea, Arsenal, Preston na Sunderland.
No comments