Breaking News

Masangula Blog inawatakia Waislamu wote Eid Mubarack

 

Uongozi wa MASANGULA Blog,unawatakia kheri na amani waislamuwote nchini na nje ya nchi katika kusherehekea Eid 

Mkurugenzi Mkuu wa MASANGULA Blog Yahya Masangula kwa niaba ya wafanyakazi wote wa MASANGULABlog/Tv,  anawasihi Watanzania wote kutumia siku hii kwa kushereheka na sio kuhatarisha amani kwa kufanya matendo mauvu yenye kuhatarisha amani na yenye kumuudhi mwenyezi Mungu. 

Eid Mubarack   

Yahyamasangula@gmail.coma

+255 742 532203

+255 788 020006

No comments