Breaking News

Tumechoka Kuchezewa- Rais Magufuli


“Tumechoka kuchezewa.” Hayo ni maneno ya Rais John Magufuli wakati akizindua rasmi maonyesho ya  41 ya kimataifa ya biashara huku akisisitiza  maonyesho hayo yatumike kama chachu ya maendeleo. 

“Tumechoka, tumechezewa mno, lakini tumechezewa kwa muda mrefu  na tumechezewa kwa sababu tumeamua,” amesema. 

 Ameyasema hayo leo (Julai 1) wakati akihutubia katika viwanja vya Sabasaba. 

Pamoja na kusisitiza utajiri ambao Tanzania inao, Rais amewataka wawekezaji walioshiriki maonyesho hayo  kuwekeza nchini kwa kuwa Tanzania ipo salama. 

“Maonyesho haya yatumike kama chachu ya maendeleo,” amesema.

No comments