Breaking news; serikali imewaongezea mashtaka watuhumiwa wa Escrow
Jamhuri imeongoza mashatka mapya sita kwa watuhumiwa wa kesi ya Escrow James Rugemalila na Harbinder Sethi
Mbele ya Hakimu Mkazi Huruma Shahidi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakili Shedrack Kimario amewasomea Mashtaka Mapya watuhumiwa hao pamoja na Uhujumu uchumi.
Awali watuhumiwa walishtakiwa kwa mashtaka sita na sasa yameongezwa sita mengine na kufikia 12.
Kesi hiyo itatajwa tena Tarehe 14 Julia 2017.
No comments