Serikali imekamata mali za watuhumiwa wa Escrow
Jamhuri imeziweka kizuizini mali za watuhumiwa wawili wa Kashfa ya Tegeta Escrow Rugemalira na Boss wa IPTL Harbinder Singh Seth
Serikali hatua nyengine iliyowachukulia watuhumiwa hao ni kufunga akaunti zao za benki.
Hatua hiyoimekuja baada ya Serikali kuwaburuza kortini watuhumiwa hao kwa kosa la kuhujumu uchumi.
Watuhumiwa hao wanadaiwa kujiingiza Pesa kwa njia ya ulaghai na kuhujumu uchumi zaidi ya Shilingi Billioni 300
No comments