Breaking News

MAMA KANUMBA AFANYA YEKE SENDI YA MABASI

MAMA wa aliyekuwa mwigizaji kinara waBongo Movies, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, kama kawaida yake ameanguakilio cha nguvu kwenye Stendi ya Mabasi yaSegerea jijini Dar, baada ya kuona bangokubwa la mwanaye huyo kwenye duka mojaeneo hilo.

 Akizungumza na gazeti hili kwa uchungu, mama huyo alisema kuwasiku hiyo alikuwaanakwenda kurekodi filamu maeneo ya Segerea na alipofika kituoni hapo, alishuka kwenye basi ndipo ndipo akakutana uso kwa uso na picha kubwa ya mwanaye huyo.

 “Kila mara naziona picha za Kanumba kwenye mabango, lakini sijui ni kwa nini hii nilipoiona, imenifanya niishiwe nguvu,” alisema mama huyo.


No comments