Breaking News

WAZIRI MWAKYEMBE ASHISTUSHWA NA VITENDO VYA WAANDISHI WA HABARI KUBUGUDHIWA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Harrison Mwakyembe ameshtushwa na malalamiko ya wadau wa soka kuhusu vitendo vya unyanyasaji na uonevu kwa Waandishi wa Habari wanaoripoti matukio ya michuano ya soka Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara.

Waziri Mwakyembe amelitaka Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) kuchunguza tuhuma hizo kujua kama kuna ukweli juu ya vitendo hivyo ambavyo vimejitokeza kwenye michezo miwili ya Ligi daraja la kwanza iliyochezwa Desemba 30, 2017 kati ya Dodoma FC vs Alliance ya Mwanza, na Pamba FC vs Biashara ya Musoma.

Soma taarifa kamili;

No comments