Breaking News

KWA MARA YA KWANZA PAUL MAKONDA ATOA NENEO KUHUSU WEMA SEPETU

Ikiwa ni siku chache tangu Wema Sepetu kutangaza kurudi Chama cha Mapinduzi (CCM) akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuanzia mwishoni mwa weekend iliyopita ameonekana akiwa katika picha tofauti tofauti na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda.

Leo Disemba 12, 2017 Paul Makonda amepost Picha(Hiyo hapo juu) kwenye ukurasa wke wa Instagram akiwa na Wema sepetu na kuandika ujumbe huu hapa chini

"Serikali ni sawa na Mzazi ambaye siku zote huwaza mema kwa watu wake. Umechagua fungu jema karibu nyumbani tujenge Nchi imara na wala siyo upinzani imara kwani Nchi kwanza vyama baadae

Kabla wa RC Makonda, Wema naye aliandika; “Sikuwajua vizuri hata nitakuchukia, na sasa nimekutana na wewe, namshukuru Mungu kukukuta … Kila Cloud Dark ina Mtaa wa Fedha”.

Februari 24 mwaka huu Wema alijiunga na Chadema kutoka CCM na Desemba Mosi aliamua kurudi CCM.

No comments