Breaking News

BREAKING NEWS: PROF. LIPUMBA AZIDIWA GHAFLA,AKIMBIZWA HOSPITALI.

#BREAKING_NEWS:

Prof.Ibrahim Lipumba wa CUF amepata mshituko wa moyo ghafla asubuhi hii na anapelekwa Aghakhan Hospital Jijini Dar Es Salaam. Madaktari wanasema hali yake sio nzuri wanaweza kumtuma Muhimbili.

No comments