Breaking News

KULU YAKANUSHA UTEUZI WA WAKUU WA WILAYA WAPYA 10

Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu,Gerson Msigwa amekanusha taarifa inayozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jana Novemba 23, 2017 Rais magufuli ameteua wakuu wa wilaya 10.

 

Msigwa kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kuwa taarifa hiyo sio sahihi ,na kuomba watanzania waipuuzeni

 

"Taarifa hii ni ya uongo. IPUUZENI. Imetengenezwa na wahalifu.". Msigwa

No comments