Breaking News

HAYA HAPA MAMBO ALIYOYASEMA ZITTO KABWE KAMATI YA MAADILI BUNGENI


Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi waACT Wazalendo, Zitto Kabwe leo September 21, 2017 amefikishwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa baada ya jana September 20 kukamatwa akiwa Airport DSM kisha leo mapema kusafirishwa kwenda Dodoma chini ya ulinzi.

Kukamatwa kwa Zitto kumekuja baada ya agizo la Spika wa Bunge Job Ndugai kuagizwa akamatwe na kufikishwa mbele ya Kamati hiyo ambapo alitoa maelezo yake kwenye Kamati hiyo ambayo inaongozwa na Mbunge wa Newala George Mkuchika.



No comments