CHUI ASHAMBULIA ASKARI MWANZA
Askari wanne na raia mmoja wajeruhiwa vibaya kwa kushambuliwa na chui katika kijiji cha Kabangaja kata ya Bugogwa wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Majeruhi wawili akiwemo askari wa wanyamapori amelazwa katika kitengo cha uangalizi maalumu ICU katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza Sekou Toure baada ya kupata majeraha makali kichwani.
Chanzo: ITV
No comments