Breaking News

AZAM YAICHAPA TRANS CAMP FC 8-1 KUJIBU MAPIGO YA SIMBA

Klabu bingwa  Afrika mashariki na kati,Azam Fc leo Ijumaa Septemba 1,2017 iliingia uwanjani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya maafande  Trans Camp FC inayoshiriki ligi daraja la pili.

Mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa chamazi umemalizika kwa Azam kuibuka na ushindi wa mabao 8-1. 

No comments