MBUNGE WA CHADEMA AKAMATWA KWA MADAI YA UCHOCHEZI
#GlobalHabari: Mbunge wa Mbozi mkoani Songwe, Paschal Haonga (Chadema) amekamatwa kisha kuwekwa ndani katika Kituo cha Polisi Vwawa baada ya kumaliza kuhojiwa na OCD wa Mbozi akidaiwa kutoa kauli ya uchochezi.
-Kamanda wa Polisi Songwe, Mathias Nyange methibitisha.

No comments