Taarifa tulizozipata kutoka Kibiti ni kwamba Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 32 mkazi wa Kibiti ameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kusadikika kuwa ni jambazi. Angalia video hii hapa chini ya tukio hilolo
#VIDEO JAMBAZI ACHOMWA MOTO KIBITI
Reviewed by Unknown
on
July 28, 2017
Rating: 5
No comments