Breaking News

News Alert: Lissu akosa Dhamana Apelekwa Mahabausu

Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia (Chadema) Tundu Lissu, amekosa Dhamana Baada ya Upande wa Jamhuri kuwasilisha Hoja ya kuzuiya Dhamana ya Mwanasheria huyo.

Upande wa Jamhuri Kupitia usiwasilisha Hoja hizo ni pamoja na Kwamba Mtuhumiwa huyo anatuhumiwa na kesi nyingi za aina hiyo Mahakamani.

Madai ya hoja nyengine ni kwamba ni kutokana na Mashtaka hayo Lissu kwamba Usalama wa Lissu ungekuwa mdogo endapo angepatiwa dhamani.

Upande wa Utetezi ulijibu hoja Hizo kwamba dhamana ni Haki ya Mtuhumiwa kutokana na Aina ya Mashtaka hayo.


No comments