DUNIANI List ya Nchi zenye Amani na zisizokuwa na Amani 2017 imetoka, Tanzania ipo?
June kila mwaka Global Peace Indexhutoa takwimu ya nchi zenye amani na ambazo hazina amani duniani na mwaka huu wametoa list hiyo ambapo inaeleza kuwa amani duniani imeogezeka kwa 0.28% ukilinganisha na mwaka 2016.
Takwimu hizi zinaonesha kuwa amani imeongezeka katika nchi 93 huku ikipungua kwenye zaidi ya nchi 63 tofauti na miaka mingine. Iceland imeendelea kuongoza list kwa miaka 9 sasa tangu 2008 huku nchi kama New Zealand,Ureno, Austria na Denmark zikiingia kwenye list hiyo.
Kwa upande wa nchi zisizo na amani Syria imeendelea kubaki kwenye list hii kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo huku nchi mpya kama Somalia Afghanistan, Iraq, South Sudan, and Yemen zikingia kwenye list ya 2017.
Nchi zenye amani zaidi 2017
Nchi ambazo hazina amani 2017
No comments