Kamati ya Utendaji imewapiga chini wajumbe wa nne na kuchagua wapya
Baada ya Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kukaa na kufikia uamuzi wa kuwaondoa katika kamati ya uchaguzi wajumbe wanne na kuweka wapya, yafuatayo ni majina ya walioondolewa na wapya.
Wajumbe walioondolewa katika kamati ya uchaguzi ni wafuatao.
1. Juma Lalika
2. Dominated Madeli
3. Jeremiah Wambura
4. Omary Hamidu
Wafuatao ndiyo wajumbe wapya watakaoungana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Wakili Revocatus Kuuli.
1. Mohammed Mchengela
2. Wakili Malangwe Ally
3. Wakili Kilomoni Kabamba
4. Wakili Deus Kalua
No comments