Breaking News

#BREAKING: Wanafunzi wengine wamepoteza maisha leo Geita

Ni kazi ya masangulatz.com kuhakikisha haupitwi na chochote, kila siku. Nimeipata hii taarifa kutoka mkoani Geita ikieleza kumetokea ajali ya Mtumbwi ambao ulibeba wanafunzi wa shule ya Ludegea ambapo wanafunzi watatu wamepoteza maisha baada ya kuzama na wengine 21 wamenusurika.

Imeelezwa kuwa wanafunzi hao walikuwa njiani kuelekea shuleni wakati ajali ya kuzama mtumbwi huo ilipotokea.

masangulatz.com na zinafatilia kilia kitu kuhusu ajali hii na tutakufahamisha zaidi.

Wanafunzi watatu wa shule ya Ludegea Geita wamefariki dunia, wengine 21 wamenusurika baada ya Mtumbwi waliopanda kuzama

No comments