Breaking News

Lowassa alivyofika Mahakamani katika kesi ya Mbowe na Viongoz Wengine CHADEMA

Viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  wameshafikishwa Mahakama ya Kisutu tangu saa mbili asubuhi.

Wanachama na viongozi wa Chadema wamekusanyika  ndani na nje ya viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusubiri hatima ya dhamana ya viongozi hao

Viongozi hao, Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe na wenzake watano wanatarajiwa kuachiwa  kwa dhamana leo iwapo watatimiza masharti ya dhamana.

==>>Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa  tayari yuko mahakaman kufatilia kesi hiyo ya mwenyekiti wa chama chake


No comments