Breaking News

BUNGE LA CHINA LAFANYA MABADILIKO YA KATIBA NA KUONDOA UKOMO WA RAIS.

Bunge la China limefanya mabadiliko ya katiba na kuondoa kifungu cha ukomo wa muda wa Rais kukaa madarakani, na hivyo kumpa Rais Xi Jinping nafasi kuwa kuongozi wa taifa hilo muda wote atakaokuwa hai.

No comments