Breaking News

MTANZANIA AKAMATWA NA DHAHABU YA DOLA MILIONI MOJA NAIROBI

Maafisa wa forodha nchini Kenyawamemkamata mwanamume anayedaiwakuwa raia wa Tanzania katika uwanja wakimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi akisafirisha dhahabu ya thamani yadola milioni mojataarifa zinasema.

Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka46 anadaiwa kuwasili kutoka Mwanza, Tanzania kupitia uwanja wa Kilimanjaro naalikuwa safarini kuelekea Dubai.

No comments