Breaking News

BABY SHOWER YA MTOTO WA GIGY MONEY YABUMA


MWANADADA machachari kwenye BongoFleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambayeanatarajia kujifungua mwezi ujaoamejikutaakishindwa kufanya shughuli ya maandaliziya mapokezi ya mwanaye wa kikeatakayemzaa ‘baby shower’ kutokana namambo ya fedha kutokaa kwenye mstari.

Habari za ndani zilizonaswa na gazeti hilizilieleza kuwaawali Gigy hakuwa na mpango wa kufanya shughuli hiyo hadi atakapojifungua, lakini baadhi ya marafiki zake wakamshawishi aifanye Jumamosi iliyopita, lakini siku ilipowadia akagundua bajeti ya shughuli haijatimia.

Alipotafutwa Gigy kuhusu ishu hiyo alisema: “Nilikurupuka kuandaa shughuli ndani ya wiki moja wakati ninataka iendane na hadhi ya jina langu, nikaona isiwe tabu, bora nisogezembele hadi wiki ijayo.

No comments