Breaking News

KAMANDA MAMBOSASA ATEMBELEA KIBITI

Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa leo ametembelea kikosi kazi cha Operesheni maalumu ya kulinda usalama katika mkoa wa kipolisi wa Rufiji hatua hiyo ni moja ya kuwatia moyo vikosi ambavyo vipo kwa ajili ya kuhakikisha wananchi walio eneo la Rufiji,  Kibiti, Mkuranga na Mafia wanaishia kwa hali amani.

Aidha Ziara hiyo ya kamanda Mambosasa ameongozana na wakuu wa mikoa ya kipolisi ya Temeke, Kinondoni na Ilala.

Taarifa zaidi itakujia kupitia hapahapa Muungwana blog kwa kila kinachoendelea

No comments