Breaking News

CHADEMA YAZIDI KUSAMBARATIKA

Aliyekuwa diwani wa kata ya Kwakilosa manispaa ya Iringa na katibu wa Madiwani kanda ya Nyasa na Katibu wa kamati ya Wagombea kanda ya Nyasa Joseph Ryata amejivua uwanachama cha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) na kujiunga na chama cha mapinduzi Ccm mda mfupi uliopita mjini Iringa

No comments