MTAMBUWE MSANII MPYA AMBAYO AMEKUJA KWA KASI ZAIDI
LOLO DA PRINCESS.
Mtambuwe mwimbaji mpya ambayo amekuja kwa kasi zaidi hapa Tanzania na pia huyu msanii ana nyimbo zake zuri na alianza kujielezea kama hivi.LOLO DA PRINCESS nimsanii ambayo mekuja kwa mwendo kasi sana na njimbo nzake ziko vizuri sana na pia huyu Lolo da princess ni actress na pia ni filim
LOLO DA PRINCESS alizungumuza hivi;
Sanaa ya music na filamu nilianza tangu nipo shule ya msingi tangu nilianza mwaka wa 2009 kwa upande wa na pia music nilianza mwaka wa 2015 ni ambapo niliachia nyimbo ya ZOUK.
Nyimbo nyingine niliachiaa mwaka wa 2016 hii ndo nyimbo yangu ya pili yiitwayo ZOUK,mwaka huu nimetoa nyimbo tatu mbili za raggie danghall na moja ni miondoko yua Afropop.
Katika upande wa filam nimesheza kadhaa nilizo shilikishwa na kwa upande wa nilizozitengenea mimi mwenyewe ni mbili ambazo zote nilishoot zipo yutubu,market.
Ukitaka kupata au kupata hizo kazi zangu ingia yutubu kwakuandika LOLO DA PRINCESS au bofya hapa Lolo da princess.Kwa msaada zaidi wasiliana na kwa kutumia mitamdao ya kijamii yifuatayo:
EMAIL;zuhuraabdulkadir86@gmail.com.
INSTAGRAM;Lolo da princess.
UTUBE;Lolo da princess.
FACEBOOK;Lolo da princess
Post Comment
No comments