Mashabiki wa Harmonize hii ilikua kiu kubwa sana baada ya kusikia kwamba Mwimbaji huyu wa Bongofleva amefanya kolabo na Mnigeria Korede Bello, kiu imekatwa leo na video yenyewe ndio hii hapa chini ukishamaliza kuitazama usisahau kudondosha comment yako hapa chini.
comment hapo chini
Harmonize Ft. Korede Bello - Shulala | Itazame Hapa
Reviewed by Unknown
on
October 17, 2017
Rating: 5
Post Comment
No comments