Mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji amekuwa katika kipindi kigumu tena baada ya kuandamwa na mambo mengi ambapo kwa sasa Kampuni ya Udalali ya Yono imezifunga ofisi zake zilizopo Barabara ya Pugu akituhumiwa kudaiwa kodi ya zaidi ya Sh300 milioni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
No comments