LIVE: Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Uwanja wa Amaan Zanzibar
Kutoka Visiwani Zanzibar, zinafanyika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru ambazo zinaambatana na maadhimisho ya miaka 18 ya kifo cha Baba wa Taifa, Hyati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Uwanja wa Amaan.
Tazama LIVE hapa
Post Comment
No comments