BREAKING: Godbless Lema aweka wazi anavyofatiliwa na wasiojulikana
Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA Godbless Lema leo amesimama mbele ya Waandishi wa habari Dar es salaam na kueleza jinsi anavyofatiliwa na watu wasiojulikana kutishiwa maisha yake.
Lema amesema “Mimi niko kwenye target na wameshindwa kuelewa kwanini wananishindwa maana wamenitafuta sana, kila mtu ametishwa, Nassari ametishwa…. mimi pia walinifatilia usiku saa sita na gari nikakimbiza sana gari, nikaacha usukani nikamuacha mke wangu nikakimbia machakani“
Unaweza kumtazama Godbless Lema na viongozi wengine wa CHADEMAwakiongea kwa urefu kwenye hii video hapa chini.
No comments