Breaking News

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TANESCO



TAARIFA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA UMEMEMKOA WA TEMEKE
                                          
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Temeke kuwa kutakuwa na kazi ya matengenezo ya njia ya ya msongo mkubwa wa 132kv kutoka Kurasini-Mbagala iliyolenga kuimarisha ubora na upatikanaji wa umeme Siku ya Jumanne, tarehe 26Sept,2017 kuanzia saa 02.00 Asubuhi hadi saa 11.00 jioni

Kutokana na matengenezo hayo baadhi ya maeneo yatakosa umeme.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA
Mbagala yote, baadhi ya maeneo ya yombo, Kimbangulile, Kiburugwa, kilungule, Kingugi, maeneo yote ya Chamazi, Mzambarauni,kijichi, Nyumba nyeupe, Mbande Kiponza,  Mbande Bamia, Zakhem, Kizuiani, Rangi tatu, Mbande Kisewe, Nzasa, hospitali ya Rangi tatu, kiwanda cha Dar steel, kiwanda cha maji poa, ukumbi wa Darlive, Am steel, karibu textile mills, East afrc polybagy, avant industry, camel cement, SD plastic Epz ltd,

Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:

Dawati la dharura Mkoa wa Temeke 0714485488, 0783360411, 0765654767 au
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu  0222194400/0768 985 100.

Tovuti:www.tanesco.co.tz

Mitandao ya kijamii
www.facebook/twitter.com/tanescoyetu

Barua pepe:
customer.service@tanesco.co.tz

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza. 

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano kwa wateja
TANESCO-TEMEKE


No comments