Breaking News

SHEKHE PONDA ANENA NENO KUHUSU SHANBULIO LA TUNDU LISSU

SHEIKH PONDA AGUSWA NA JARIBIO LA MAUAJI DHIDI YA MHE TUNDU LISSU


Nimesikitishwa na tukio la kupigwa risasi Mheshimiwa Tundu Lissu. Ni tukio linalopingana na misingi ya sheria za nchi. Bila shaka wakati wa ukombozi ukifika hata jiwe litapiga kelele, ninaamini wakati wenyewe haupo mbali. Ni ujinga na upuuzi kudhani kwamba matumizi ya silaha yanaweza kuzuia ukombozi. Wanaodhani hivyo wanakinzana na akili zao.

Sheikh Ponda Issa Ponda

Chadema Blogtz 

No comments