Breaking News

#NEW VIDEO CASSO FT DOGO JANJA

Msanii anayefanya vizuri katika tansinia ya bongo fleva casso benzema ambaye amefanya kolabo na Dogo janja "janjaro"

Msanii huyo anayekuja kwa kasi chini ya usimamizi NDAUKA MUSIC  ameachia Video Mpya ambayo amemshilikisha Dongo janja   ikiwa ni ishara ya ujio Mzuri katika bongo fleva.

Masangula blog ilimnasa 
Casso benzema ameahidi ataendelea kufanya vizuri na kutowaangusha mashabiki zake, Naomba support zenu mashabiki wangu na wadau Wa music kwa ujumla na natoa ahadi ya kutowaangusha na nitaendelea kufanya vizuri zaidi na zaidi kikubwa kutoka kwangu nawaomba mashabiki wangu na wadau Wa music ku sapot kazi zangu pia natoa shukrani za dhati kwa mnao sapoti mziki wangu, Alisema >>>Casso Benzema<<


Alichokisema Dogo janja 
 Casso ni Msanii mzuri anafanya vizur na ndio sababu ya mimi na yeye kufanya kolabo, siwezi kuongea maneno mengi ila nasema kwa wale watoto wa mama watakaa maana sio mtu Wa mchezo mzhezo, alisema DOGO JANJA.





No comments