Breaking News

MWANAMKE AMCHINJA MUMEWE KWA WIVU



SHINYANGA: Polisi wanamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Tinde, kwa tuhuma ya kumchinja mume wake Wa ndoa kwa kisu baada ya ugomvi wa simu kisa hicho kinaeleza kuwa ni wivu Wa kimapenzi ndio uliosababisha mwanamke huyo kumchinja mumewe


No comments