Breaking News

SIMBA IMECHAPWA GOLI MOJA BILA HUKO AFRIKA KUSINI

Leo Agosti mosi,2017 klabu ya Simba ambayo ipo kambini nchini Afrika kusini iliingia uwanjani katika mchezo wa kujipima nguvu dhidi ya Timu ya Orlando Pirates ya nchini humo.

Mchezo huo umemalizika kwa Simba kuchapwa goli moja kwa sifuri goli ambalo lilifungwa katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.

Kikosi cha Simba kilichoanza katika mchezo huo ni

1. Nduda
2. Shomari Ally
3. Mwambeleko
4. Mbonde
5. Nyoni
6. Mkude
7. Mnyate
8. Kotei
9. Bocco
10. Okwi
11. Mo Ibra

Simba inatarajia kucheza mchezo mwingine wa kujipima nguvu siku ya Alhamisi 

No comments