Breaking News

RATIBA YOTE YA MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA VODACOM 2017/18

RATIBA ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017-2018 imetoka. 

 

Pazia la Ligi Kuu inayorushwa moja kwa moja na Televisheni ya Azam, litafunguliwa rasmi Agosti 27, mwaka huu kwa timu zote 16 kuingia viwanjani.

   

AGOSTI 26, 2017

Ndanda Vs Azam -Nangwanda

Mwadui Vs Singida- Mwadui

Mtibwa Vs Stand – Manungu

Simba Vs Ruvu – Taifa

Kagera Vs Mbao -Kaitaba

Njombe Vs Prison- Sabasaba

Mbeya Vs Majimaji- Sokoine

 












No comments