Breaking News

RAIS WA SIMBA NA MAKAMU WAKE WAMEFIKA TENA MAHAKAMANI LEO,HIKI NDICHO KILICHOTOKEA

Leo Agosti 16, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kwa mara nyingine kesi ya kutakatisha fedha na kughushi inayowakabili Rais wa Simba SC, Evans Aveva na Makamu wake, Geofrey Nyange maarufu Kaburu hadi Agosti 30, 2017 baada ya upelelezi kutokamilika.
Kesi hiyo imeahirishwa mbele ya Hakimu Mkazi Victoria

No comments