IBADA YA HIJJA:KIONGOZI WA TZ ANATAARIFA HII MUHIMU KWAKO
Akizungumza jijini Dar es salaam kiongozi wa kiroho wa dhehebu la shia-ithina sheria nchin shekh hemed jalala amesema wananchi wanatakiwa kushirikiana na jeshi la polisi kutokomeza vitendo hivyo kwa ni vitendo visivyokubalika na dini yeyote
Amefafanua kuwa uharifu unaojitokeza nchini ni wa kukemewa vikali na kila kiongozi wa dini katika maeneo yao ya ibada
Aidha Jalala amesema ibada hii ya hijja itumike kusuluisha matatizo mbalimbali na kuleta amani maeneo yasiyo na amani
No comments