Bayern Munich wametoa jezi zao mpya za nyumbani na ugenini kwa ajili ya msimu wa 2017-18. Jezi hizo zinafanana na zile ambazo walikuwa wakivaa katika miaka ya 1990 lakini za sasa zikiwa zimeboreshwa.
No comments