Kaburu aandika Barua ya kujitoa Kinyang'anyiro cha Urais TFF akiwa Mahabusu
Godfrey Kaburu aliyekuwa akiwania nafasi ya urais Katika Shirikisho la Soka Nchi TFF imedaiwa kuandika Barua ya kujitoa kwenye mbio hizo za Kuwania Urais wa Shirikisho hilo.
Juzi Kaburu na Aveva walipandishwa kwenye Kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Kusomowa Mashtaka Matano yakiwemo ya Utakatishaji Fedha.
Kaburu na Aveva walikosa dhamana kutokana Mahakama hiyo kukosa miguu ya kusikiliza dhamana za makosa ya uhujumu uchumi.
No comments