Wachezaji wa England walivyopelekwa kwenye mazoezi ya kijeshi
Kawaida ya mazoezi ya mpira wa miguu ni tofauti sana na mazoezi ya Vyombo vya Usalama kwa sababu hata mazoezi ya Vyombo hivyo ni tofauti na ya mpira wa miguu ingawa pia navyo huwa na michezo mbalimbali.
Story kubwa iliyonifikia leo June 6, 2017 ni hii ya wachezaji wa Timu ya Taifa laEngland kupelekwa jeshini ambapo unaambiwa wamelekewa kwenye Kambi ya kijeshi kujifunza uzalendo kwa saa 48 wakati wakijiandaa na mechi ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 dhidi yaScotland Jumamosi ijayo.
Washuhudie kwenye hizi picha saba ujionee namna Gary Cahill, Harry Kane,Dele Alli, Raheem Sterling na wengine walivyopigishwa matizi ya kijeshi…
No comments