Breaking News

Shabiki maarufu wa Yanga amefariki Dunia


Kama ni shabiki wa soka la Bongo hususani Dar es salaam Young Africans najua utakuwa umfahamu shabiki maarufu wa Yanga ambaye amekuwa na utamaduni wa kuifuata timu mahali popote inapokwenda Ally Yanga.

Taarifa ya kusikitisha iliyonifikia kuhusiana naAlly Yanga ni kuwa amefariki dunia katika ajali ya gari Dodoma eneo la Ipogolo, Ally Yangaimeripotiwa kuwa alikuwa katika mbio za Mwenge.


NAIFUTILIA TAARIFA ZAIDI NA NITAKULETEA HAPA

No comments