Breaking News

Mambo 10 wameyazungumza ACT Wazalendo baada ya Anna Mghwira kuteuliwa RC

June 3, 2017 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Anna Mghwira aliteuliwa naJPM kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro akichukua nafasi ya Saidi Meck Sadiki aliyejiuzulu.

Kufuatia uteuzi huo ACT Wazalendokupitia kwa Kamati Uongozi kilikutana kutafakari juu ya matokeo ya uteuzi huo ambapo leo June 7, 2017 Kaimu Kiongozi wa Chama, Samson Maingu Mwigambaamekutana na Waandishi wa habari kutoa taarifa ya kamati hiyo na haya ni mambo 10 aliyoyazungumza>>>

No comments